Topn Bii_Kifo cha Sam
Maisha hayana huakika ila kifo ni hakika jameni. Poleni sana familia SAM WA UKWELI, the last Bongo fleva super star ambae amefariki leo usiku tarehe 06.08.2018. Aliandika mwanamziki wa wise stars Top&B inchini Congo DR.