Créer un site internet

Mutamba Bil_Sister Dj_Lyrics

  • Le 27/04/2019 à 23:27
  • Dans Divers
  • 0 commentaire

Mutamba Bil_Sister Dj lyrics

Année : 2015
Album: Peace and love

Verse1:
Natamani one day nami nipate support kwa DJ kama wewe.
Natamani nami siku moja nimpate DJ mzuri kama wewe.
DJ wa hekima
DJ mwenye sura nzuri na upendo
Kama ulivyo.
DJ mkali,
Mwenye anaipamba track yangu vizuri,
mpaka akiniacha nimezubaa.
DJ wa hekima.
DJ mwenye sura nzuri na upendo,
Kama ulivyo.
DJ mkali
Mwenye anaipamba sauti yangu vizuri,
Yaani mpaka nabaki hoi.
Natamani, nitaenjoy siku moja.
Nitafurahi ndoto yangu ikitimia x2.
Chorus: x4
Dj , DJ nakupenda sana.
Sister DJ unaniacha hoi.
Verse 2:
Naskia raha ninapo ona ma dogo wanapendeza.
Pale jumba la Sanaa nzima masauti yanapaza.
Naskia raha nikiona mademu wanaringa,
Wanaringa ringa na kucheza maringa.
Wanacheza huku wakiskiza mento
Oya boy,
Wananiacha hoi.
Wanacheza huku wakiskiza track,
Ona jinsi wanavyoniacha hoi.
Chorus:
Repeat chorus x4
Verse 2:
Tangu October 26th, sijui year.
TOP&B ndipo nilianza mziki.
Nikitoka kwenye club, najitupa kitandani hoi
Sikuwa na rafiki wala mashabiki.
Cha ajabu naona leo madogo wanaupenda huu mziki.
Mimi buana nawapenda pia.
Kupitia wewe wananipenda sana, ndo maana nakupenda DJ.
Chorus:
Till fade.

Ajouter un commentaire