Créer un site internet

Mutamba_Bil_Kinyongo_Lyrics

  • Le 27/04/2019 à 23:26
  • Dans Divers
  • 0 commentaire

KINYONGO BY MIKE TOPN B


➡ Année 2013.
➡ Studio : Tigre2 Records.

Intro:
Tintinnabulation magical sound.(Unlucky yeah eh unlucky yeah eh).
Kuwa na chuki na kinyongo moyoni, imekuwa ni kawaida kwa wengine. ila hawajui ina madhara makubwa, madhara makubwa.
Nakwambia dunia Ya leo tunaishi na watu wabaya, wanaoficha makucha yao na kumbe ndani ndani ni ma simba. Wanaochukia mziki ambayo watu wanaimba, wanachukia mziki hii ya Kongolo tunaimba.

Chorus x4:
Kwanini chuki.
Verse 2:
Sielewi jinsi gani vinadamu wanakuwa na kinyongo, na chuki myoyoni mwao kwasababu tuaimba mziki.
Pilipili msio ila sasa zamiwashia nini.
Mtabaki nyuma yetu. Sisi tunasonga mbele.
Tunasonga mbele.
Mtabaki nyuma.x2
Unlucky Mike anasonga mbele
Mtabaki nyuma.
Anasonga mbele(mbele).
Mtabaki nyuma.
Kuwa na chuki na kinyongo moyoni kunaleta madhara makubwa, ô madhara makubwa. Kunaleta madhara makubwa.
Wengi zetu wanajiuliza mbona sisi tuna bidii, chuki yao itawazika, sisi tunasonga mbele.

Chorus: Repeat chorus x4
Ni TOP&B
Shikamoo ndugu zangu, hii mziki ni kipaji.
Na sio kunywa maji
Kaulize Black G maana ni babu mkuu.
Wazima
Bilema
Wote waimbe, wacheze, hii Kongolo iwe wima.
Tuishi upendoni.
Maana'ke amani na furaha kwa kila mkongomani.
Ukirudi nyumbani, tetea swali hili.
Tegemea kuwa ukweli na tena ukweli huu kubali.
Ya kwamba mwanzo ni mzito,
Kubali matokeo.
Ule achekae aende akekae bar.
Tutamuacha tu gizani, na hapo ndipo atajua kwamba tulishasonga mbele.
Biwelewele
Tutawashonta virole
Na mwisho mtapata haya.
Tabia zao mbaya, wenye hawaisifu mziki ya Kongolo ni chuki tu.
For my part I really wanna RAP.
Ô myself I call Lucky Mike, super&super man.
I've no fear for anybody and in AMRP anybody has fear.
We beat some piece and we haven't fear.
In all hip hop, Lucky I'm very bad.

Chorus: repeat chorus x2.
Ukizarau wasanii huwezi kwenda mbinguni.

Ajouter un commentaire